Wednesday, December 03, 2014

TOKOMEZA UNYANYASAJI NA UKATILI KWA WATOTO WADOGO

matukio kama haya ukatili juu ya wtoto wadogo yameendelea kutokea katika maeneo mengi duniani,mfano like tukio la kule nchini uganda mtotot kuteswa na dada wakazi za ndani katika picha hii ni mtoto aliyeuwawa kikatili huko mkoani mara kwa kuchinjwa na mama yake wa kambo...je jamii inapambana vipi kutokomeza ukatiki huu? kila mtu atafakari kwa sehemu yake.

0 comments:

Recent Posts


Unordered List