Monday, June 02, 2014

TASWIRA YA STENDI YA MWENGE BAADA YA KUFUNGWA NA KUANZA KUTUMIKA STENDI YA MAKUMBUSHO!!

 Kibao kikionyesha kuwa hakuna kituo chochote kutoka Mwenge hadi Lufungila. Lufingila ndio Kituo Cha Kwanza ukiwa unatokea Mwenge kuelekea Ubungo.
 Ndani ya Kituo Cha Mwenge hakuna Msongamano tena wa Magari
 
Gari la Manispaa ya Kinondoni likipita ndani ya kilichokuwa Kituo Cha Mabasi Mwenge kuwatangazia Wafanyabiashara ndogondogo kuonda eneo hilo hadi kufikia Saa Kumi na Mbili Jioni. 
 Wafanyabiashara wakiendelea kufanya biashara zao huku wakitakiwa kuondoka ifikapo saa kumi na mbili jioni.Picha Zote na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog

0 comments:

Recent Posts


Unordered List