| Madiwani Manispaa ya Moshi wakielekea kwenye vyanzo vya maji. |
| Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Mhandisi Cyprian Luhemeja(aliyenyoosha mkono)akitoa maelezo kwa Madiwani walipotembelea chanzo cha Maji cha Cofee Curing. |
| Chanzo cha Maji cha Cofee Curing. |
| Diwani wa kata ya Miembeni katika Manispaa ya Moshi,Bw Mbonea Mshana akiuliza jambo wakati walipotembelea chanzo cha Maji cha Cofee Curing. |
| Meneja Ufundi wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi(MUWSA)Mhandisi Patrick Kibasa akitoa maelezo kwa Madiwani walipotembelea matanki ya kuhifadhi maji ya CCP. |
| Chanzo kipya cha maji kilichopo kando ya Mto Karanga,chanzo hiki chenye Chemichemi kimeibuliwa hivi karibuni na MUWSA ili kujiongezea upatikanaji wa maji ya kutosha kwa wakazi wa Mji wa Moshi. |
| Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Mhandisi Cyprian Luhemeja akitoa maelezo kwa Madiwani walipotembelea chanzo kipya cha Maji kilichopo kando ya Mto Karanga. |
| Mafundi wa MUWSA wakiendelea na shughuli ya uunganishaji wa bomba kwa ajili ya kupitishia maji katika Chanzo kipya cha maji kilichopo kando ya Mto Karanga. |
| Chanzo cha Maji cha Shiri. |
| Madiwani wakitizama Chanzo cha Maji cha Shiri ambacho kwa sasa maji yake yameongezeka ujazo. |
| Chanzo cha maj cha Shiri. |
| Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Mhandisi Cyprian Luhemeja akitoa maelezo kwa Madiwani walipotembelea Chanzo cha Maji cha Kisima cha Kaloleni . |
| Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Mhandisi Cyprian Luhemeja akitoa maelezo kwa Madiwani walipotembelea Mabwawa ya Maji taka yaliyopo eneo la Mabogini. |
| Madiwani wakitizama sehemu ya mwisho ya mzunguko wa Maji taka ambayo hutoka kwenda kutumiwa na wakulima wa Mpunga na ufugaji wa Samaki aina ya Kambare. |

0 comments:
Post a Comment