Wednesday, December 03, 2014

KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA WALEMAVU DUNIANI NI VEMA KAMA UTAJIULIZA SWALI LIFUATALO,JE? UNA WASAIDIA WALEMAVU KWASABABU UNAWAONEA HURUMA? AU KWASAABABU NI WAJIBU WAKO?

pichani ni Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu  sera na utawalawa bunge muheshimiwa William  Lukuvi  akimkabidhi  mwanafunzi  wa shule ya Msingi Kipera Rahel Mwikonzi cheti  cha ushiriki mzuri wa siku ya  walemavu

tukuio hili limefanyika siku ya leo katika maadhimisho ya siku ya walemavu duniani ambayo ikataifa yamefanyika mkoani Iringa

0 comments:

Recent Posts


Unordered List