Saturday, September 13, 2014

DIEGO COSTA APIGA ‘HAT-TRICK’ CHELSEA IKIITANDIKA 4-2 SWANSEA DARAJANI

1410622832883_Image_galleryImage_LONDON_ENGLAND_SEPTEMBER_
Diego Costa ameonesha ubora wake wa kufumania nyavu baada ya kufunga mabao matatu dhidi ya Swansea City. 
KAMA Diego Costa alikuwa na bei ya Paundi milioni 320, bado alistahili thamani hiyo.
Ni kitu gani hiki Mhispania huyu ameleta katika ligi England?
Amefunga magoli saba katika mechi nne tangu awasili Chelsea akitokea Atletico Madrid kwa dau la paundi milioni 32.
Amefikisha idadi hiyo baada ya kufunga mabao matatu  ‘Hat-tric’ dhidi ya Swansea City jioni ya leo, Chelsea ikishinda 4-2 Stamford Bridge. 
Kwa asilimia 100 ni rekodi nzuri mno kwa nyota huyu aliyetamba na Atletico msimu uliopita.
Ushindi huu umewasha taa nyekundu kwa wapinzani wa ubingwa wa EPL na umeonesha kuwa timu ya Jose Mourinho ni hatari msimu huu.
Former Queens Park Rangers striker Loic Remy scored on his Chelsea debut to make it 4-1
MATOKEO YA MECHI ZILIZOMALIZIKA HAYA HAPA
ENGLAND: Premier League
04:45 Finished Arsenal 2 - 2 Manchester City


07:00 Finished Chelsea 4 - 2 Swansea


07:00 Finished Crystal Palace 0 - 0 Burnley


07:00 Finished Southampton 4 - 0 Newcastle Utd


07:00 Finished Stoke City 0 - 1 Leicester


07:00 Finished Sunderland 2 - 2 Tottenham


07:00 Finished West Brom 0 - 2 Everton


09:30 13  Liverpool 0 - 1 Aston Villa

0 comments:

Recent Posts


Unordered List