Sunday, October 05, 2014

NEWSSSSSSSSSS:FRENCH MONTANA ALAUMIWA KUMTEKELEZA MTOTO WAKE




 
French Montana AMETAJWA kuwa baba mbaya baada ya kumtelekeza mototo wake wakiume na mke wake kisha kula bata na madem wengine

Kauli hiyo imetolewa na marafiki wa karibu wa mke wake wa zaman wa Frenchi Montana
Nadeen Kharpouch...na kuongeza kuwa kuna wakati  Montana aliwatoroka mke na mototo wake kwa miezi 7

Inatajwa kuwa jamaa ametumia siku nne tu akiwa na mototo wake huyo mwenye umri wa miaka  4 ili ale bata na madem maarufu kama  Trina na Khloe Kardashian.

Mke huyo amabaye ameshapewa  talaka amesema kuwa jamaa amekuwa akitumia mali walizochuma ,kumnunulioa khloe ambaye ndio mpenzi wake wa sasa na ambaye pia ni dada wa kim kadashian vitu vya bei mbaya

0 comments:

Recent Posts


Unordered List


Text Widget

Blog Archive