Thursday, October 02, 2014

TANZANIA MWENYEJI MKUTANO MKUU WA KWANZA WA UMOJA WA VYUO VYA USAFIRI WA ANGA BARANI AFRIKA (AATO)

AATO

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi , Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, Mbwana . J. Mbwana (Kulia) akisalimiana na Rais wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika (AATO) Tchagbele Sadamba wakati wa mkutano mkuu wa kwanza wa AATO unaofanyika Zanzibar kwa ajili ya kujadili mbinu za kuboresha mafunzo ya usafiri wa anga barani Afrika. Katikati ni Mkurugenzi wa Idara ya Udhibiti Uchumi Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) Dkt. James Diu.
AATO
Rais wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika(AATO) Tchagbele Sadamba (Kulia) akiteta jambo na Katibu Mkuu wa AATO Bi Margreth Kyarwenda ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Cha Usafiri wa Anga (CATC) , kinachomilikiwa na TCAA wakati wa mkutano mkuu wa kwanza wa AATO unaofanyika Zanzibar kwa ajili ya kujadili mbinu za kuboresha mafunzo ya usafiri wa anga barani Afrika.
AATO
Baadhi ya wataalamu wa sekta ya Usafiri wa Anga Tanzania wakifuatilia kwa karibu mkutano mkuu wa kwanza wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika( AATO) unaofanyika mjini Zanzibar kwa ajili ya kujadili mbinu za kuboresha mafunzo ya usafiri wa anga barani Afrika.
AATO
Baadhi ya wataalamu wa sekta ya Usafiri wa Anga toka nchi ya Senegal wakifuatilia kwa karibu mkutano mkuu wa kwanza wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika( AATO) unaofanyika mjini Zanzibar kwa ajili ya kujadili mbinu za kuboresha mafunzo ya usafiri wa anga barani Afrika.
AATO
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, Mbwana. J. Mbwana (katikati) akiwasikilza wajumbe wa mkutano wa AATO , baada ya kufungua mkuu wa kwanza wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika( AATO) unaofanyika mjini Zanzibar kwa ajili ya kujadili mbinu za kuboresha mafunzo ya usafiri wa anga barani Afrika. Wengine kutoka kushoto ni mjumbe wa Bodi TCAA, Yussuf . M. Ali, Mkurugenzi Idara Udhibiti Uchumi , TCAA, Dkt. James Diu , Rais wa AATO Tchagbele Sadamba na Mjumbe wa Bodi TCAA. Hanif. M. Malik
AATO
Mkurugenzi Idara ya Udhibiti Uchumi(TCAA) Dkt. James Diu , akitoa hotuba kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa kwanza wa Umoja wa Vyuo Vya Usafiri wa Anga Barani Afrika(AATO) unaofanyika mjini Zanzibar kwa ajili ya kujadili mbinu za kuboresha mafunzo ya usafiri wa anga barani Afrika.
AATO
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt. Shabaan Mwinjaka(Kushoto) akifuatilia moja ya mada zilizokuwa zikitolewa kwenye mkutano mkuu wa kwanza wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika( AATO) unaofanyika mjini Zanzibar kwa ajili ya kujadili mbinu za kuboresha mafunzo ya usafiri wa anga barani Afrika.
AATO
Mgeni rasmi wa mkutano mkuu wa kwanza wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika, Mbwana J. Mbwana (watano kutoka Kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa baraza la Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika( AATO) unaofanyika mjini Zanzibar kwa ajili ya kujadili mbinu za kuboresha mafunzo ya usafiri wa anga barani Afrika.

0 comments:

Post a Comment

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

0 comments:

Recent Posts


Unordered List


Text Widget

Blog Archive