
Baada
ya Kuingia Iringa Mjini,Mh:Mwigulu Nchemba akaamua kuingia Mtaani
kutembelea Matawi ya chama na Kuzungumza na Wananchi.Hapa Msafara wake
ukiwa soko la Mitumba Iringa Mjini,

Vijana wa CCM Iringa Mjini wakiwa mitaani Iringa Mjini.



Chipukizi wa Chama Cha Mapindizi Iringa Mjini wakiwa tayari kwa Kumpokea Mgeni Rasmi Mh:Mwigulu Nchemba.



















0 comments:
Post a Comment