
Serikali nchini Canada inasema
kuwa itatoa hadi dosi 1,000 za chanjo ya majaribio ya ugonjwa wa Ebola
kwa shirika la afya ulimwenguni WHO.
Hii ni kwa elengo la kusadia kupambana na
mlipuko wa ugonjwa wa Ebola magharibi mwa Afrika ambao hadi sasa umewaua
zaidi ya watu 1,000.
Wataalamu wanaonya kuwa huenda ikachukua hadi miezi sita kuunda kiwango cha dawa ambacha kinaweza kutumiwa.
Kamapuni moja wa kimarekani ambayo ilikuwa imetengeneza dawa za majaribio inasema kuwa kwa sasa kiwango cha dawa ilicho nacho ni kidogo.
0 comments:
Post a Comment